Kuhusu Tanabaisho

Hii ni wavuti maalum kwa ajili ya kuweka bayana Ukweli na yale yote ya muhimu yanayopaswa kujulikana na kila mtu kwa lengo la kujenga mstakhabari bora wa maisha yetu sote!

Yanaweza kuwa yanawagusa watanzania zaidi,lakini pia habari za afrika mashariki na afrika nzima zitatanabaishwa ila kila mwenye kujua kusoma na asome!

Serikali nyingi za Africa zimetumia mwanya wa wananchi kutokujua mabo mengi yanayowahusu na wanayopaswa kuyajua kuwakandamiza na kuwaonea na imefika mahali wananchi wanapelekewa haki yao inayotokana na jasho lao ama kodi yao kwa jina msaada,na isitoshe mahali pengine serikali zimechukua utukufu mwingi kwa kuwaonyesha wananch miradi na huduma nyingi za msaada kana kwamba ni juhudi ya serikali hizo!

Hapa tuna kazi moja tu kuweka wazi/kuweka bayana  na kuchambua kwa kina kila jambo linalopaswa kujulikana na watu wote,kuweka wazi rasilimali za wote,kuweka wazi viongozi na wanasiasa wabadhilifu lakini pia kuwaweka wazi watu wanaofanya vizuri katika maeneo ili watu waige na kupata mfano….kwa kifupi,JAMBO LOLOTE LENYE STAILI YA KUFAHAMIKA HATA KAMA LIKO GIZANI,LITAWEKWA BAYANA TU,YAANI LITATANABAISHWA…KWA MASLAHI YA UMMA!!!

ANGALIZO;

Hii sio wavuti ya chama chochote cha siasa,hivyo makala yoyote itakayosomeka humu na uchambuzi wake,utetezi wake utafanywa na mwandishi husika,hata kama umeguswa kuchangia ama kuhoji au kuuliza,lugha za matusi,kejeli na majigambo yasiyo maana hayaruhusiwi hata kidogo,Kwa mtu yeyote mstaarabu atahoji kwa hoja na sio mashambulizi binafsi kwa wachangiaji wengine au mwandishi!…Sote tunajenga nyumba moja na huu ni uwanja wa kusaidiana kwa amani,hivyo hamna haja ya ugomvi kati ya watu!!….UKIJA HAPA JARIBU KUULETA MTAZAMO WAKO KITAIFA ZAIDI NA SIO KIITIKADI,AHSANTE!!

KARIBUNI SANA!!!

TANABAISHO……MASLAHI YA TAIFA KWANZA MBELE!!!!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s